Kiboor ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Waboor. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiboor imehesabiwa kuwa watu 100 tu. Kwa hiyo lugha imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiboor iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiboor kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.