Kichumburung ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wachumburung. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kichumburung imehesabiwa kuwa watu 69,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichumburung iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichumburung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.