Kidagba ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Chad inayozungumzwa na Wadagba. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kidagba nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 34,000. Pia kuna wasemaji 10,000 nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidagba iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidagba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.