Kidelo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana na Togo inayozungumzwa na Wadelo. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kidelo nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 10,900. Pia kuna wasemaji 5400 nchini Togo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidelo iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidelo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.