Kidera ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadera. Ni tofauti na lugha ya Kidera nchini Papua Nyugini. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kidera imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidera iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidera (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.