Kiding ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wading. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiding imehesabiwa kuwa watu 155,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiding iko katika kundi la B80.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiding kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.