Kidiriku ni lugha ya Kibantu nchini Angola, Namibia na Botswana inayozungumzwa na Wadiriku. Idadi ya wasemaji wa Kidiriku nchini Angola imehesabiwa kuwa watu 24,000. Pia kuna wasemaji 10,200 nchini Namibia (2006) na wasemaji 2000 nchini Botswana (2004). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidiriku iko katika kundi la K70.

Enezi la Kidiriku

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidiriku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.