Kidogoso ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso na Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wadogoso. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kidogoso nchini Burkina imehesabiwa kuwa watu 9000. Idadi ya wasemaji nchini Cote d'Ivoire haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidogoso iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidogoso kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.