Kiefik ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waefik. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kiefik nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 400,000. Pia kuna wasemaji nchini Kamerun na Marekani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiefik iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiefik kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.