Kifulani-Borgu

(Elekezwa kutoka Kifulfulde-Borgu)

Kifulani-Borgu ni lahaja ya Kifulani, kilicho lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wafulani. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kifulani-Borgu nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 280,000. Pia kuna wasemaji nchini Togo na Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifulfulde-Borgu iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifulani-Borgu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.