Kifungwa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wafungwa. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kifungwa imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifungwa iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifungwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.