Kiga ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Waga. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiga imehesabiwa kuwa watu 600,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiga iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.