Kigagu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wagagu. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kigagu imehesabiwa kuwa watu 36,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigagu iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigagu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.