Kigbaya-Mbodomo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wagbaya. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kigbaya-Mbodomo imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbaya-Mbodomo iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigbaya-Mbodomo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.