Kigikyode ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wagikyode. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kigikyode imehesabiwa kuwa watu 10,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigikyode iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigikyode kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.