Kigrebo-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Wagrebo. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigrebo-Kusini nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 61,600. Pia kuna wasemaji nchini Cote d'Ivoire ambao hasa ni wakimbiaji kutoka vita vya Liberia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigrebo-Kusini iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigrebo-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.