Kihdi ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wahdi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kihdi imehesabiwa kuwa watu 25,000. Pia kuna wasemaji 4000 nchini Nigeria ambako lugha huitwa Kihide. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihdi iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihdi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.