Kihun-Saare (au Kiduka) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wasaare. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kihun-Saare imehesabiwa kuwa watu 73,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihun-Saare iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihun-Saare kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.