Kiiceve-Maci ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waiceve-Maci. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiiceve-Maci imehesabiwa kuwa watu 7000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiiceve-Maci iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiiceve-Maci kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.