Kiidaté ni lugha ya Kiaustronesia nchini Timor ya Mashariki inayozungumzwa na Waidaté. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiidaté imehesabiwa kuwa watu 13,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiidaté iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiidate kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.