Kiisanzu (pia huitwa Kiihanzu) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waisanzu. Wengine kama Maho na Sands 2002 wanaiangalia kuwa lahaja tu ya lugha ya Kinilamba. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiisanzu imehesabiwa kuwa watu 32,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiisanzu iko katika kundi la F30.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiisanzu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.