Kikakanda ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakakanda. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kikakanda imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikakanda iko katika kundi la Kinupoidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikakanda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.