Kikeiyo (au Kielgeyo) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Kenya inayozungumzwa na Wakeiyo, kabila moja la Wakalenjin. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikeiyo imehesabiwa kuwa watu 314,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikeiyo iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikeiyo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.