Kikera ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad na Kamerun inayozungumzwa na Wakera. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikera nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 44,500. Pia kuna wasemaji 6000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikera iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikera kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.