Kikoromeo (kutoka kitenzi "kukoroma"; kwa Kiingereza "Adam's apple" au "laryngeal prominence"; kwa Kilatini "prominentia laryngea") ni sehemu ya shingo ya binadamu ambayo inajitokeza, hasa katika wanaume[1][2].

Kikoromeo kwa mbele.
Kikoromeo cha mwanamume.
Kikoromeo cha mwanamume.

Picha nyingine hariri

Tanbihi hariri

  1. "Laringe". Sisbib.unmsm.edu.pe. Iliwekwa mnamo 2013-02-27. 
  2. "Prominentia laryngea Medical Term Medical Dictionary". Medicine Online. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-12-25. Iliwekwa mnamo 2013-02-27. 

Viungo vya nje hariri

Kigezo:Commonscatinline

  Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoromeo kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.