Kikusaal ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wakusaal. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kikusaal nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 420,000. Pia kuna wasemaji 17,000 nchini Burkina Faso. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikusaal iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikusaal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.