Kilagwan ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Walagwan. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kilagwan nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 1500. Pia kuna wasemaji nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilagwan iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilagwan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.