Kilontsi Mbebhaghu M. Mporogomyi

Kilontsi Mbebhaghu M. Mporogomyi (amezaliwa tar. 16 Desemba 1949) ni mbunge wa jimbo la Kasulu Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Kilontsi Mbebhaghu M. Mporogomyi". 13 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.