Kiluba-Katanga

Lugha ya Kibantu

Kiluba-Katanga ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waluba-Katanga. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiluba-Katanga imehesabiwa kuwa watu milioni moja na nusu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiluba-Katanga iko katika kundi la L30.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluba-Katanga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.