Kiluwo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Waluo. Ni tofauti na lugha nyingine za Kiluo nchini Uganda, Kenya na Tanzania ingawa zote ziko katika kundi lilelile kilugha. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kiluwo imehesabiwa kuwa watu 80,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiluwo iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluwo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.