Kilyele ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Walyele. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilyele imehesabiwa kuwa watu 130,000. Kuna Walyele wengi ambao huhamiahamia nchi za jirani, hasa Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilyele iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilyele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.