Kimabire ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wamabire. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimabire imehesabiwa kuwa watu watatu tu. Kwa hiyo lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimabire iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimabire kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.