Kimampruli ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wamampruli. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimampruli nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 220,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Togo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimampruli iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimampruli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.