Kimandari (au Kimundari) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wamandari. Idadi ya wasemaji wa Kimandari haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimandari iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimandari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.