Kimangayat ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wamangayat. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimangayat imehesabiwa kuwa watu 400 tu. Kwa hiyo inawezekana lugha ya Kimangayat imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimangayat iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimangayat kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.