Kimanikion ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamanikion. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimanikion imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimanikion iko katika kundi la “East Bird's Head”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimanikion kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.