Kimarghi cha Kati

(Elekezwa kutoka Kimarghi ya Kati)

Kimarghi ya Kati ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamarghi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimarghi ya Kati imehesabiwa kuwa watu 158,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarghi ya Kati iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimarghi cha Kati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.