Kimbule ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wambule. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimbule imehesabiwa kuwa watu 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbule iko katika kundi la A60.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbule kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.