Kimvanip (pia Kimagu) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamvanip. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kimvanip imehesabiwa kuwa watu 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimvanip iko katika kundi la Kimambiloidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimvanip kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.