Kinafaanra ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wanafaanra. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kinafaanra nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 61,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinafaanra iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinafaanra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.