Kinafri ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanafri. Mwaka wa 1975 idadi ya wasemaji wa Kinafri imehesabiwa kuwa watu 1630; hata hivyo ni kizazi cha wazee hasa, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinafri iko katika kundi la Kisentani.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinafri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.