Kindasa ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo na Gabon inayozungumzwa na Wandasa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kindasa nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 4530, na nchini Gabon 2460. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindasa iko katika kundi la B20.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.