Kindonga ni lugha ya Kibantu nchini Namibia na Angola inayozungumzwa na Wandonga. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kindonga nchini Namibia imehesabiwa kuwa watu 807,000. Pia kuna wasemaji 263,000 nchini Angola (2000) lakini inawezekana hawa wamehesabiwa pamoja na Wakwanyama na Wakwambi. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kindonga iko katika kundi la R20.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindonga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.