Kingam ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wangam. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kingam nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 43,700. Pia kuna wasemaji 17,700 nchini Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kingam iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kingam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.