Kinoon (pia Kiserer-Noon) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Wanoon. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kinoon imehesabiwa kuwa watu 32,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinoon iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinoon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.