Kinyanga-li ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wanyanga-li. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kinyanga-li imehesabiwa kuwa watu 48,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyanga-li iko katika kundi la D30.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyanga-li kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.