Kinyanga (lugha)

Lugha ya Kibantu inayozungumzwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Kinyanga ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wanyanga. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kinyanga imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyanga iko katika kundi la D40.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyanga (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.