Kinzakambay ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad na Kamerun inayozungumzwa na Wanzakambay. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinzakambay nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 18,500 na nchini Kamerun 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinzakambay iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinzakambay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.