Kinzakara

idadi ya watu wa Afrika ya kati. Wanachukua eneo lililogawanywa kati ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Souda

Kinzakara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wanzakara. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kinzakara nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 50,000. Pia kuna wasemaji nchini Kongo ambao hawajahesabika bado. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinzakara iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinzakara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.