Kipokoot ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Kenya na Uganda inayozungumzwa na Wapokoot. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kipokoot nchini Kenya imehesabiwa kuwa watu 264,000. Pia kuna wasemaji 70,400 nchini Uganda kufuatana na sensa ya 2002. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipokoot iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipokoot kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.